Je unatafuta nyumba ya kupanga Arusha, Unataka kununua Nyumba, Kununua Kiwanja?
Viwanja vya kuuza vipatikana maeneo ya Njiro, Sakina, Burka - Viwanja vizuri sana.
Nunua kiwanja bei rahisi maeneo ya Moshono, Ngulelo, Ilboru, Tengeru, Kwa mrefu, Kwa mrombo.
Mashamba yanauzwa maeneo ya Tengeru, Kisongo na USARIVER.
Nyumba za kuuza maeneo ya Sakina na Njiro - Nyumba nzuri saana, bei nzuri.
Nunua nyumba maeneo ya Ngulelo, Ilboru, Moshono na Kisongo.
Nyunba za kupanga zinapatikana maeneo yote Arusha kuanzia Njiro, Themi, Moshono, Uzunguni, Olorieni, Esso, Sakina, Burka.