Shamba eka 3 la kuuza lipo kijiji cha kwa Ugoro, km 2 kutoka Dolly Estate. Linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Bei ya kununua ni millioni 9 kwa eka. Shamba la kuuza linafikika kwa barabara ya uhakika misimu yote. Karibu, uwekeze kwenye ardhi, ardhi ni hazina na inapanda thamani kila mwaka. Tuwasiliane, +255784559111
3 acre farm for sale located in Ugoro village, 2 km from Dolly Estate. Suitable for irrigation farming. The purchase price is 9 million per acre. The farm for sale is accessible by a reliable road all seasons. Welcome, invest in land, land is a treasure and increases in value every year. Contact us, +255784559111
No comments:
Post a Comment